PONGEZI YA KUPATA MTOTO NA JAWABU YAKE

PONGEZI YA KUPATA MTOTO NA JAWABU YAKE

 [ بارك الله لك في الموهوب لك ،وشكرت الواهب، وبلغ أشدهُ، ورزقت برهُ ]

[Mwenyezi Mungu  akubariki katika ulichopewa na umshukuru  aliyekupa, na afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake]

Na aliyepongzwa  atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

[ بارك الله لك وبارك عليك ، وجزاك الله خيراً ، ورزقك الله مثله، وأجزل ثوابك]

[Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu  akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu  akuruzuku mfano wake na afanye nyingi thawabu zako] [Tazama Al-Adhkaar ya Imamu Al-Nnawawiy uk 349]


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba