Kuomba Maghfirah, Rahmah, Hidaaya, Kuungwa, Afya, Rizki, Kunyayuliwa Daraja

Kuomba Maghfirah, Rahmah, Hidaaya, Kuungwa, Afya, Rizki, Kunyayuliwa Daraja

اللّهُـمَّ اغْفِـرْ لي، وَارْحَمْـني، وَاهْدِنـي، وَاجْبُرْنـي، وَعافِنـي وَارْزُقْنـي وَارْفَعْـني

Allaahummagh-fir-liy warhamniy, wahdiniy, wajburniy, wa ‘aafiniy, warzuqniy, warfa’-niy

Ee Allaah, nighufurie, na nirehemu, na nihidi na niunge kunitengenezea niliyoharamika nayo, na nipe afya, na niruzuku, na nipandishe [daraja]. Aswhaabus-Sunan isipokuwa An-Nasaaiy. Nyiradi katika kikao baina ya Sajdah mbili

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

The Story of Prophet Dhul Kifl

Full Story of the Prophet Ayyub