Kuomba Kuthibitika Moyo Katika Dini
Kuomba Kuthibitika Moyo Katika Dini
يَا مُقَلِّبَ الْقُلُوبِ ثَبِّتْ قَلْبِي عَلَى دِينِك
Yaa muqallibal quluwbi, thabbit qalbiy ‘alaa Diynika
Ee Mwenye kupindua nyoyo, Thibitisha moyo wangu katika Dini Yako [At-Tirmidhiy, Ibn Maajah, Ahmad, Al-Haakim na Taz Swahiyh Al-Jaami’ 7987]
Comments
Post a Comment