Kuomba Kinga Ya Shari Ya Nafsi, Kuthibitika Katika Hidaaya

Kuomba Kinga Ya Shari Ya Nafsi, Kuthibitika Katika Hidaaya

Maghfirah Ya Dhambi Za Kila Aina

اللَّهُمَّ قِنِي شَرَّ نَفْسِي، وَاعْزِمْ لِي عَلَى أَرْشَدِ أَمْرِي، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي مَا أَسْرَرْتُ، وَمَا أَعْلَنْتُ، وَمَا أَخْطَأْتُ، وَمَا عَمَدْتُ، وَمَا عَلِمْتُ، وَمَا جَهِلْتُ

Allaahumma qiniy sharra nafsiy, wa a’-zim-liy ‘alaa arshadi amriy, Allaahummagh-fir-liy maa asrartu, wamaa a’-lantu, wamaa akh-twa-atu, wamaa ‘amadtu, wamaa ‘alimtu, wamaa jahiltu

Ee Allaah Nikinge shari ya nafsi yangu, na Nithibitishe katika uongofu bora kabisa wa mambo yangu, Ee Allaah, nighufurie niliyoyafanya kwa siri, na niliyoyafanya kwa dhahiri na niliyoyakosea, na niliyoyatenda kwa makusudi, na niliyoyafanya kwa kujua na niliyofanya kwa kutokujua. [Ahmad. Al-Haakim Adh-Dhahabiy amekubali na kuipa daraja ya Swahiyh. Tazama pia Majma’ Zawaaid (10/184)]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

The Story of Prophet Dhul Kifl

Full Story of the Prophet Ayyub