Du’aa Ya Kuona Mwezi Unapoandama
Du’aa Ya Kuona Mwezi Unapoandama [Miezi Yote Si Ramadhwaan Pekee]
اللهُ أَكْـبَر، اللّهُمَّ أَهِلَّـهُ عَلَيْـنا بِالأمْـنِ وَالإيمـان، والسَّلامَـةِ والإسْلامِ، وَالتَّـوْفيـقِ لِما تُحِـبُّ وَتَـرْضَـى، رَبُّنـا وَرَبُّكَ اللهُ.
Allaahu Akbar, Allaahumma Ahillahu ‘alaynaa bil-amni wal-iymaani, wassalamaati wal-Islaami, wattawfiyqi limaa Tuhibbu Rabbunaa wayardhwaa Rabbuna wa-Rabbuka-Allaah
Allaah ni Mkubwa, Ee Allaah, Uuanzishe kwetu kwa amani na imani, na usalama na Uislamu, na taufiqi ya kile Unachokipenda Mola wetu na kukiridhia, Mola wetu na Mola wako ni Allaah
Comments
Post a Comment