Du’aa Khasa Ya Laylatul-Qadr Kuomba Al-'Afw (Msamaha)

Du’aa Khasa Ya Laylatul-Qadr Kuomba Al-'Afw (Msamaha)

اللَّهُمَّ إِنَّكَ عَفُوٌّ تُحِبُّ الْعَفْوَ فَاعْفُ عَنِّي

Allaahumma Innaka ‘Afuwwun Tuhibbul-‘afwa fa’fu ‘anniy

Ee Allaah, hakika Wewe Mwingi wa kusamehe Unapenda kusamehe basi nisamehe. [At-Tirmidhiy, Ahmad, Ibn Maajah, na Swahiyh At-Tirmidhiy (3/170)]

Pia kumwita Allaah (سبحانه وتعالى) kwa Majina Yake Mazuri Yanayohusiana na kuomba msamaha na maghfirah. Unamwita Allaah (سبحانه وتعالى) kwa Majina hayo kwa wingi bila ya kuwekea idadi maalumu au kuambatanisha na kitendo maalumu.

يــــــَــــاعَفُـــــــــــــوُّ يَاغَفـــُــــــورُ

Yaa ‘Afuwwu Yaa Ghafuwru. 

 Ee Mwingi wa Kusamehe, Mwingi wa Kughufuria.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

The Story of Prophet Dhul Kifl

Full Story of the Prophet Ayyub