Du'aa baada ya salamu katika swalaah ya Witri
Du'aa baada ya salamu katika swalaah ya Witri
(Mwisho kabisa baada ya kumaliza Swalaah yote na si kila baada ya Rakaa mbili au nne)
سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوس
Subhaanal-Malikul-Qudduus
"Ametakasika Allaah Mfalme, Mtakatifu"
(mara tatu)
(Kisha unavuta kwa sauti )
ربِّ الملائكةِ والرّوح
Rabbul-Malaaikati War-Ruuh
"Ee Rabb wa Malaika na wa Jibriyl"
Comments
Post a Comment