DUA UNAPOJIGEUZA USINGIZINI USIKU

DUA UNAPOJIGEUZA USINGIZINI USIKU

[ لا إله إلا الله الواحد القهار، ربُّ السموات والأرض وما بينهما العزيز الغفار ]

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu  Mmoja  Alieshinda, Mola wa mbingu na ardhi na vilivyo kati yake, Aliyetukuka Mwingi wa Msamaha]        [Imepokewa na Haakim na Al-Nnasaai]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba