DUA BAADA YA SALAMU KATIKA SWALA YA WITRI
DUA BAADA YA SALAMU KATIKA SWALA YA WITRI
سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوس] ثلاث مرات]
[Ametakasika Mwenyezi Mungu Mfalme, Mtakatifu.] mara tatu. Na mara ya tatu anaisoma kwa sauti kubwa na kwa kuivuta.
[ ربِّ الملائكةِ والرّوح
رواه النسائي 3/244 والدار قطني وغيرهما
[Ewe Mola wa malaika na wa Jibriil.] [Imepokewa na Al-Nnasaai na Al-Ddarqutnyi]
Comments
Post a Comment