DUA BAADA YA KUMZIKA MAITI
DUA BAADA YA KUMZIKA MAITI
[اللهم اغفر له اللهم ثبته]
[Ewe Mwenyezi Mungu msamehe, Ewe Mwenyezi Mungu mfanye awe thabiti]
Mtume ﷺ alikuwa akimaliza kuzika anasimama mbele ya kaburi na kisha anasema “Muombeeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu ndugu yenu na muombeeni kuthibitishwa kwani hivi sasa anaulizwa. [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Haakim]
Comments
Post a Comment