DUA ALIYEPATWA NA SHAKA KATIKA IMANI YAKE

DUA ALIYEPATWA NA SHAKA KATIKA IMANI YAKE

 [ يستعيذ بالله ]

البخاري مع الفتح 6/336 ومسلم 1/120

[Atataka (aombe) hifadhi ya Mwenyezi Mungu]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

[ ينتهي عما شك فيه ]

 البخاري مع الفتح 6/336 ومسلم 1/120

[Aondowe kile kitu alichokifanyia shaka]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

“يقول” آمنت بالله ورسله

 مسلم 1/  119

Kisha aseme [Nimemuamini Mwenyezi Mungu  na mitume yake.]       [Imepokewa na Muslim.]  

{يقرأ قوله تعالى { هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ

Kisha asome aya hii katika Qur’ani

[Yeye ndiye wa Mwanzo na wa Mwisho, na aliye Wazi, na aliyejificha, naye ni mjuzi wa kila kitu.]

[Imepokewa na Abuu Daud.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba