KISA CHA NABII YUSUFU
KISA CHA NABII YUSUFU
Jina Lake Kamili:: Yusuph Bin Yaaqub Bin Is-Haaqa Bin Ibraahiim.
(Hao Baba Na Babu Zake Wote Ni Mitume, Ukweli Ndo Nabii Ambae Alipata Nasaba Bora Kuliko Manabii Wote.)
Baba Yake Yuusuph (Mzee Yaaqub) Alizaliwa Mji Wa Kan Ani(Iraq) Lakini Alihamia Mji jirani Ambao Unaitwa Faddaan Kwa Shangazi Yake. Alioa hapo Wanawake Watano Kwa Mida Tofauti, Na Kila Mama Alimzalia Watoto Wawili, Hivyo Jumla Walikua Watoto Kumi Woote Wa Kiume!.
Hapo Ndipo Akamuoa Mama Yake Yuusuph Jina Lake Rahiil, Huyu Rahiil Aliolewa Ukewenza Na Dada Yake Aitwae Rayaa.
Kisa cha Nabii Yusufu ni kirefu mno hivyo unaweza kukipata katika App nyingine iitwayo KISA CHA NABII YUSUFU kupitia Google Playstore

Comments
Post a Comment