Je, Inafaa Kuzifanya Swiyaam Za Sitta Shawaal Kuwa Ni Kulipa Deni La Ramadhwaan?

Je, Inafaa Kuzifanya Swiyaam Za Sitta Shawaal Kuwa Ni Kulipa Deni La Ramadhwaan?


Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

"Swiyaam za Sitta Shawwaal hazifai kufanywa ni deni la Ramadhwaan kwa sababu siku sita hizo zinafutilia baada ya Ramadhwaan, zinafanana na Swalaah za Sunnah za Raatibah (zile Sunnah za Qabliyyah na Ba'diyyah) katika Swalaah za fardhi.
[Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb (175)

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba