Nyiradi za Asubuhi na jioni
Nyiradi za asubuhi na jioni.[1] Asubuhi ni baada ya Swalaah ya Alfajiri mpaka jua kuchomoza. Na jioni ni baada ya Swalaah ya Alasiri mpaka jua kuzama. Ila baadhi ya ‘Ulamaa wamesema kuwa baada ya jua kuzama na kuendelea.
الْحَمْدُ لِلَّه وَحْدَهُ وَالصًّلاَةُ وَالسَّلاَمُ عَلَى مَنْ لاَ نَبَيِّ بَعْدَهُ
AlhamduliLlaahi Wahdahu was-Swalaatu was-salaamu ‘alaa man-laa Nabiyyi ba’dahu
Himdi ni za Allaah Pekee, Rehma na amani ziwe juu ya ambaye hakuna Nabiy baada yake.
أَعُوذُ بِاللّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ .
اللَّـهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ ۚ لَا تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ ۚ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِندَهُ إِلَّا بِإِذْنِهِ ۚ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ ۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلَّا بِمَا شَاءَ ۚ وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ ۖ وَلَا يَئُودُهُ حِفْظُهُمَا ۚ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ ﴿٢٥٥﴾[2]
Soma Suwrah zifuatazo mara tatu kila moja[3]
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيم. قُلْ هُوَ اللَّـهُ أَحَدٌ ﴿١﴾ اللَّـهُ الصَّمَدُ ﴿٢﴾ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ﴿٣﴾ وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ﴿٤﴾
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ ﴿١﴾ مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ﴿٢﴾ وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ﴿٣﴾ وَمِن شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِي الْعُقَدِ ﴿٤﴾وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ﴿٥﴾
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ .قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ ﴿١﴾ مَلِكِ النَّاسِ ﴿٢﴾ إِلَـٰهِ النَّاسِ ﴿٣﴾ مِن شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ ﴿٤﴾ الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ ﴿٥﴾ مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ ﴿٦﴾
[77]
أَصْـبَحْنا وَأَصْـبَحَ المـلكُ لله وَالحَمدُ لله، لا إلهَ إلاّ اللّهُ وَحدَهُ لا شَريكَ لهُ، لهُ المُـلكُ ولهُ الحَمْـد، وهُوَ على كلّ شَيءٍ قدير، رَبِّ أسْـأَلُـكَ خَـيرَ ما في هَذا الْيَوْمِ وَخَـيرَ ما بَعْـدَهُ، وَأَعـوذُ بِكَ مِنْ شَـرِّ هَذا الْيَوْمِ وَشَرِّ ما بَعْـدَهُ، رَبِّ أَعـوذُبِكَ مِنَ الْكَسَـلِ وَسـوءِ الْكِـبَر، رَبِّ أَعـوذُبِكَ مِنْ عَـذابٍ في النّـارِ وَعَـذابٍ في القَـبْر
Aswbahnaa wa aswbahal-Mulku liLLaah wal-HamduliLlaah. Laa ilaaha illa-Allaahu Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku walahul-Hamdu, wa Huwa ‘alaa kulli shay-in Qadiyr. Rabbi as-aluka khayra maa fiy haadhal yawmi wakhayra maa ba’-daahu, wa a’uwdhu bika minsharri haadhal yawmi washarri maa ba’-dahuu, Rabbi a’uwdhu bika minalkasli wasuw-il kibari, Rabbi a’uwdhu bika min ‘adhaabin finnaari wa ‘adhaabin filqabri
Tumeingia wakati wa asubuhi na umekuwa Ufalme ni wa Allaah, na Himdi ni Zake Allaah, hapana mwabudiwa wa haki ila Allaah, hali yakuwa Peke Yake, Hana mshirika. Ni Wake Ufalme, na ni Zake Himdi, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza. Rabb wangu, nakuomba kheri ya siku ya leo, na kheri ya baada ya siku hii, na ninajikinga Kwako kutokana na shari ya siku ya leo na shari ya baada ya siku hii. Rabb wangu, najikinga Kwako kutokana na uvivu, na ubaya wa uzee ubaya. Rabb wangu, najikinga Kwako kutokana na adhabu ya Moto na adhabu ya kaburi[4]
Na ikiingia jioni useme:
أَمْسَيْـنا وَأَمْسـى المـلكُ لله وَالحَمدُ لله، لا إلهَ إلاّ اللّهُ وَحدَهُ لا شَريكَ لهُ، لهُ المُـلكُ ولهُ الحَمْـد، وهُوَ على كلّ شَيءٍ قدير، رَبِّ أسْـأَلُـكَ خَـيرَ ما في هـذهِ اللَّـيْلَةِ وَخَـيرَ ما بَعْـدَهـا، وَأَعـوذُ بِكَ مِنْ شَـرِّ هـذهِ اللَّـيْلةِ وَشَرِّ ما بَعْـدَهـا، رَبِّ أَعـوذُبِكَ مِنَ الْكَسَـلِ وَسـوءِ الْكِـبَر، رَبِّ أَعـوذُبِكَ مِنْ عَـذابٍ في النّـارِ وَعَـذابٍ في القَـبْر
Amsaynaa wa amsal-Mulku liLLaah wal-HamduliLLaahi. Laa ilaaha illa-Allaahu Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku walahul-Hamdu, wa Huwa ‘alaa kulli shay-in Qadiyr. Rabbi as-aluka khayra maa fiy haadhihil-laylati wakhayra maa ba’dahaa, wa a’uwdhu bika minsharri haadhihil-laylati washarri maa ba’dahaa, Rabbi a’uwdhu bika minalkasli wasuw-il kibari, Rabbi a’uwdhu bika min ‘adhaabin finnaari wa ‘adhaabin filqabri
اللّهُـمَّ بِكَ أَصْـبَحْنا وَبِكَ أَمْسَـينا، وَبِكَ نَحْـيا وَبِكَ نَمـوتُ وَإِلَـيْكَ النِّـشور
Allaahumma bika aswbahnaa wabika amsaynaa, wabika nahyaa wabika namuwtu wailaykan-nushuwr
Ee Allaah, Kwako (kwa neema Zako) tumeingia katika asubuhi, na Kwako (kwa neema Zako) tumeingia jioni, na kwa ajili Yako ndio tumekuwa hai, na kwa ajili Yako tutakufa, na Kwako tutafuliwa[5].
Na jioni useme:
اللّهُـمَّ بِكَ أَمْسَـينا، وَبِكَ أَصْـبَحْنا، وَبِكَ نَحْـيا، وَبِكَ نَمـوتُ وَإِلَـيْكَ المَصـير
Allaahumma bika amsaynaa wabika aswbahnaa, wabika nahyaa wabika namuwtu wailaykal-maswiyr
Ee Allaah, Kwako (kwa neema Zako) tumefika jioni, na Kwako (kwa neema Zako) tumefika asubuhi, na kwa ajili Yako tuko hai na kwa ajili Yako tutakufa na ni Kwako tu marejeo.
اللّهـمَّ أَنْتَ رَبِّـي لا إلهَ إلاّ أَنْتَ، خَلَقْتَنـي وَأَنا عَبْـدُك، وَأَنا عَلـى عَهْـدِكَ وَوَعْـدِكَ ما اسْتَـطَعْـت، أَعـوذُبِكَ مِنْ شَـرِّ ما صَنَـعْت، أَبـوءُ لَـكَ بِنِعْـمَتِـكَ عَلَـيَّ وَأَبـوءُ بِذَنْـبي فَاغْفـِرْ لي فَإِنَّـهُ لا يَغْـفِرُ الذُّنـوبَ إِلاّ أَنْتَ .
Allaahumma Anta Rabbiy laa ilaaha illaa Anta Khalaqtaniy wa ana ‘abduka wa anaa ‘alaa ‘ah-dika wawa’-dika mastatwa’-tu, a’uwdhu bika minsharri maa swana’-tu, abuw-u Laka bini’-matika ‘alayya waabuw-u bidhambiy, faghfirliy fainnahu laa yaghfirudh dhunuwba illaa Anta
Ee Allaah, Wewe ni Rabb wangu, hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe, umeniumba mimi na mimi ni mja Wako, nami niko juu ya ahadi Yako, na agano Lako, kiasi cha uwezo wangu, najikinga Kwako kutokana na shari ya nilichokifanya, nakiri Kwako kwa kunineemesha, na nakiri kwa madhambi yangu, basi nakuomba unighufurie kwani hakuna wa kughufuria madhambi ila Wewe[6]
Mwanamke aseme:
اللّهـمَّ أَنْتَ رَبِّـي لا إلهَ إلاّ أَنْتَ، خَلَقْتَنـي وَأَنا أَمَتُكَ
Allaahumma Anta Rabbiy laa ilaaha illaa Anta Khalaqtaniy wa ana amatuka...
Ee Allaah, Wewe ni Rabb wangu, hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe, umeniumba mimi na mimi ni mja Wako mwanamke...
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَصْبَـحْتُ أَشْـهِدُك، وَأُشْـهِدُ حَمَلَـةَ عَـرْشِـك، وَمَلائِكَتِك، وَجَمـيعَ خَلْـقِك، أَنَّـكَ أَنْـتَ اللهُ لا إلهَ إلاّ أَنْـتَ وَحْـدَكَ لا شَريكَ لَـك، وَأَنَّ ُ مُحَمّـداً عَبْـدُكَ وَرَسـولُـك [7]
Allaahumma inniy aswbahtu ush-hiduka wa ush-hidu hamalata ‘Arshika, wamalaaikatika wajamiy’a Khaliqika, Annaka Anta-Allaahu laa ilaaha illaa Anta Wahdaka laa shariyka Laka wa anna Muhammadan ‘Abduka wa Rasuwluka
Ee Allaah, hakika mimi nimefikia asubuhi nakushuhudia na nina washuhudia wabeba wa ‘Arshi yako na Malaika wako, na viumbe vyako vyote kwamba Wewe ndiye Allaah, hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe, hali ya kuwa Peke Yako Huna mshirika, na kwamba Muhammad ni mja Wako na ni Rasulli Wako.
(Useme mara 4 asubuhi na jioni)
Jioni useme:
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَمْسَيْتُ أَشْـهِدُك، وَأُشْـهِدُ حَمَلَـةَ عَـرْشِـك، وَمَلائِكَتِك، وَجَمـيعَ خَلْـقِك، أَنَّـكَ أَنْـتَ اللهُ لا إلهَ إلاّ أَنْـتَ وَحْـدَكَ لا شَريكَ لَـك، وَأَنَّ ُ مُحَمّـداً عَبْـدُكَ وَرَسـولُـك
Allaahumma inniy amsaytu ush-hiduka waush-hidu hamalata ‘Arshika, wamalaaikatika wajamiy’a khaliqika, Annaka Anta-Allaahu laa ilaaha illaa Anta Wahdaka laa shariyka Laka wa-anna Muhammadan ‘Abduka warasuwluka
Ee Allaah, hakika mimi nimefikia jioni nakushuhudia na nina washuhudia wabeba wa ‘Arshi yako na Malaika wako, na viumbe vyako vyote kwamba Wewe ndiye Allaah, hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe, hali ya kuwa Peke Yako Huna mshirika, na kwamba Muhammad ni mja Wako na ni Rasuli Wako
اللّهُـمَّ ما أَصْبَـَحَ بي مِـنْ نِعْـمَةٍ أَو بِأَحَـدٍ مِـنْ خَلْـقِك، فَمِـنْكَ وَحْـدَكَ لا شريكَ لَـك، فَلَـكَ الْحَمْـدُ وَلَـكَ الشُّكْـر[8]
Allaahumma maa aswbaha biy min ni’-matiy aw biahadim min Khalqika faminka Wahdaka laa shariyka Laka, falakal-Hamdu walakash-shukru
Ee Allaah, sikuamka na neema yoyote au kati ya kiumbe Chako chochote, na neema ila inatoka Kwako hali ya kuwa peke Yako Huna mshirika, ni Zako Himdi na ni Zako shukurani.
اللّهُـمَّ عافِـني في بَدَنـي، اللّهُـمَّ عافِـني في سَمْـعي، اللّهُـمَّ عافِـني في بَصَـري، لا إلهَ إلاّ أَنْـتَ. اللّهُـمَّ إِنّـي أَعـوذُبِكَ مِنَ الْكُـفر، وَالفَـقْر، وَأَعـوذُبِكَ مِنْ عَذابِ القَـبْر، لا إلهَ إلاّ أَنْـتَ. (ثلاثاً)
Allaahumma ‘aafiniy fiy badaniy, Allaahumma ‘aafiniy fiy sam-’iy, Allaahumma ‘aafiniy fiy baswariy, laa ilaaha illaa Anta. Allaahumma inniy a’uwdhu bika minalkufri walfaqri. Allaahumma inniy a’uwdhu bika min ‘adhaabil qabri laa ilaaha illaa Anta. (mara 3)
Ee Allaah, nipe afya ya mwili wangu, Ee Allaah, nipe afya ya usikizi (masikio) wangu, Ee Allaah, nipe afya ya uoni (macho) wangu, hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe. Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na ukafiri, na ufakiri, na najikinga Kwako kutokana na adhabu ya kaburi, hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe[9].
حَسْبِـيَ اللّهُ لا إلهَ إلاّ هُوَ عَلَـيهِ تَوَكَّـلتُ وَهُوَ رَبُّ العَرْشِ العَظـيم
Hasbiya-Allaahu laa ilaaha illaa Huwa ‘Alayhi tawakkaltu wa Huwa Rabbul ’Arshil ‘Adhwiym (mara 7 asubuhi na jioni)
Ananitosheleza Allaah, hapana mwabudiwa wa haki ila Yeye, Kwake Yeye nimetawakali na Yeye ni Rabb wa Arshi Tukufu[10]
اللّهُـمَّ إِنِّـي أسْـأَلُـكَ العَـفْوَ وَالعـافِـيةَ في الدُّنْـيا وَالآخِـرَة، اللّهُـمَّ إِنِّـي أسْـأَلُـكَ العَـفْوَ وَالعـافِـيةَ في ديني وَدُنْـيايَ وَأهْـلي وَمالـي، اللّهُـمَّ اسْتُـرْ عـوْراتي وَآمِـنْ رَوْعاتـي، اللّهُـمَّ احْفَظْـني مِن بَـينِ يَدَيَّ وَمِن خَلْفـي وَعَن يَمـيني وَعَن شِمـالي، وَمِن فَوْقـي، وَأَعـوذُ بِعَظَمَـتِكَ أَن أُغْـتالَ مِن تَحْتـي
Allaahumma inniy as-alukal ‘aafiyah fid-dunyaa wal Aakhirah. Allaahumma inni as-alukal ‘afwa wal ‘aafiyata fiy Diyniy wa dunyaaya, wa ahliy, wa maaliy. Allaahumma-stur ‘awraatiy, wa-aamin raw’aatiy. Allaahumma-hfadhwniy min bayni yadayya, wamin khalfiy, wa ‘an yamiyniy, wa ‘an shimaaliy, wamin fawqiy, wa a’uwdhu bi’adhwmatika an ughtaala min tahtiy
Ee Allaah, hakika nakuomba msamaha na al’-aafiyah (afya, hifadhi, amani, salama) duniani na Aakhirah. Ee Allaah, hakika nakuomba msamaha na al’-aafiyah katika Dini na dunia yangu, na ahli wangu, na mali yangu. Ee Allaah nisitiri aibu zangu na nitulize hofu yangu. Ee Allaah, nihifadhi mbele yangu, na nyuma yangu, na kulia kwangu, na kushoto kwangu, na juu yangu, na najikinga kwa Uadhimu Wako kwa kutekwa chini yangu [11]
اللّهُـمَّ عالِـمَ الغَـيْبِ وَالشّـهادَةِ فاطِـرَ السّماواتِ وَالأرْضِ رَبَّ كـلِّ شَـيءٍ وَمَليـكَه، أَشْهَـدُ أَنْ لا إِلـهَ إِلاّ أَنْت، أَعـوذُ بِكَ مِن شَـرِّ نَفْسـي وَمِن شَـرِّ الشَّيْـطانِ وَشِـرْكِه، وَأَنْ أَقْتَـرِفَ عَلـى نَفْسـي سوءاً أَوْ أَجُـرَّهُ إِلـى مُسْـلِم .
Allaahumma ‘Aalimal-ghaybi wash-shahaadah, Faatwiras-samaawati wal-ardhwi, Rabba kulli shay-in wamaliykah. Ash-hadu an laa ilaaha illaa Anta. A’uwdhu Bika minsharri nafsiy, wamin sharri shaytwaani wa shirkihi, wa an aqtarifa ‘alaa nafsiy suuw-an aw ajurrahu ilaa Muslim
(Soma tena nyiradi hiyo ila kwenye neno la: ‘wa shirkihi’ useme badala yake: “wa-sharakihi”)
Ee Allaah, Mjuzi wa ghayb na yaliyowazi, Mwanzishi wa mbingu na ardhi, Rabb wa kila kitu na Mfalme wake. Nashuhudia kwamba hapana mwabudiwa wa haki ila Wewe. Najikinga Kwako kutokana na shari ya nafsi yangu na shari ya shaytwaan na shirki yake na kujichumia uovu kwa nafsi yangu au kumletea Muislamu[12]
بِسـمِ اللهِ الذي لا يَضُـرُّ مَعَ اسمِـهِ شَيءٌ في الأرْضِ وَلا في السّمـاءِ وَهـوَ السّمـيعُ العَلـيم (ثلاثاً)
BismiLLaahiLLadhiy laa yadhwuru ma’-Smihi shay-un fil-ardhwi walaa fissamaai wa Huwas-Samiy’ul ‘Aliym (mara 3)
Kwa jina la Allaah Ambaye hakidhuru kwa jina Lake kitu chochote kile kilicho ardhini, wala mbinguni, Naye ni Mwenye Kusikia yote daima Mjuzi wa yote daima
رَضيـتُ بِاللهِ رَبَّـاً وَبِالإسْلامِ ديـناً وَبِمُحَـمَّدٍ صَلى الله عليه وسلم نَبِيّـاً. (ثلاثاً)
Radhwiytu biLLaahi Rabban wabil Islaami Diynan wabi Muhammadin Swalla-Allaahu ‘alayhi wa sallam Nabiyyaa (mara 3)
Nimeridhika kuwa Allaah Ndiye Rabb wangu, na Uislamu ndio Dini yangu, na Muhammad (صلى الله عليه وسلم) kuwa ni Nabiy wangu[14]
يا حَـيُّ يا قَيّـومُ بِـرَحْمَـتِكِ أَسْتَـغـيث، أَصْلِـحْ لي شَـأْنـي كُلَّـه، وَلا تَكِلـني إِلى نَفْـسي طَـرْفَةَ عَـين
Yaa Hayyu Yaa Qayyuwm bi-Rahmatika astaghiythu, Aswlihliy sha-ani kullahu walaa takilniy ilaa nafsiy twarfata ‘aynin
Ee Uliye Uliyehai daima, Msimamizi wa kila kitu, kwa Rehma Zako ninakuomba uniokoe, nitengenezee mambo yangu yote, wala usiniachie nijitegemee mambo yangu mwenyewe (pasina kunisaidia) hata kwa muda (mdogo kama muda) wa kupepesa jicho[15]
[89]
أَصْبَـحْـنا وَأَصْبَـحْ المُـلكُ للهِ رَبِّ العـالَمـين، اللّهُـمَّ إِنِّـي أسْـأَلُـكَ خَـيْرَ هـذا الـيَوْم، فَـتْحَهُ، وَنَصْـرَهُ، وَنـورَهُ وَبَـرَكَتَـهُ، وَهُـداهُ، وَأَعـوذُ بِـكَ مِـنْ شَـرِّ ما فـيهِ وَشَـرِّ ما بَعْـدَه.
Aswbahnaa wa aswbahal-Mulku liLLaahi Rabbil ‘Aalamiyn. Allaahumma inniy as-aluka khayra haadhal-yawmi fat-hahu, wanaswarahu, wanuwrahu, wabarakatahu, wahudaahu, wa a’uwdhu Bika minsharri maa fiyhi washarri maa ba’-dahu
Tumeingia asubuhi na imefika asubuhi na Ufalme ni wa Allaah Rabb wa walimwengu, Ee Allaah, hakika mimi nakuomba kheri ya siku hii ya leo, ufunguzi wake na nusura yake, na nuru yake na baraka yake, na uongofu wake, na najikinga Kwako kutokana na shari ya kilicho ndani ya siku hii, na shari ya baada ya siku hii[16]
Jioni useme:
أَمْسَيْـنا وَأَمْسـى المُـلكُ للهِ رَبِّ العـالَمـين، اللّهُـمَّ إِنِّـي أسْـأَلُـكَ خَـيْرَ هـذهِ اللَّـيْلَة، فَتْحَهـا، وَنَصْـرَهـا، وَنـورَهـا، وَبَـرَكَتَـهـا، وَهُـداهـا، وَأَعـوذُ بِـكَ مِـنْ شَـرِّ ما فـيهـاِ وَشَـرِّ ما بَعْـدَهـا
Amsaynaa wa amsal-Mulku liLLaah Rabbil ‘Aalamiyn. Allaahumma inniy as-aluka khayra haadhihil-laylati fat-hahaa, wanaswarahaa, wanuwrahaa, wabarakatahaa, wahudaahaa, wa a’uwudhu Bika minsharri maa fiyhaa washarri maa ba’dahaa
Tumeingia jioni na imefika jioni na Ufalme ni wa Allaah, Rabb walimwengu, Ee Allaah hakika mimi nakuomba kheri ya usiku huu, ufunguzi wake na nusura yake, na nuru yake na baraka yake, na uongofu wake, na najikinga kwako kutokana na shari ya kilicho ndani ya usiku huu, na shari ya baada ya usiku huu.
أَصْـبَحْنا علـى فِطْـرَةِ الإسْلام، وَعَلـى كَلِـمَةِ الإخْـلاص، وَعلـى دينِ نَبِـيِّنا مُحَـمَّدٍ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم وَعَاـى مِلَّـةِ أبينـا إِبْـراهيـمَ حَنيـفاً مُسْلِـماً وَمـا كـانَ مِنَ المُشـرِكيـن
Aswbahnaa ‘alaa fitwratil-Islaami, wa ‘alaa kalimatil-ikhlaasw, wa ‘alaa Diyni Nabiyyinaa Muhammadin Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam wa ‘alaa millati Abiynaa Ibraahiyma Haniyfan Musliman wamaa kaana minal-mushrikiyn
Tumeingia asubuhi na maumbile ya Kiislamu na neno la ikhlaasw na Dini ya Nabiy wetu Muhammad (صلى الله عليه وسلم), na milah (Dini) ya baba yetu Ibraahiym aliyejiengua na dini potofu akashika Dini ya haki na hali ya kuwa Musilamu wala hakuwa ni mwenye kumshirikisha Allaah.[17]
Jioni useme:
أَمْسَيْنا علـى فِطْـرَةِ الإسْلام، وَعَلـى كَلِـمَةِ الإخْـلاص، وَعلـى دينِ نَبِـيِّنا مُحَـمَّدٍ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم وَعَاـى مِلَّـةِ أبينـا إِبْـراهيـمَ حَنيـفاً مُسْلِـماً وَمـا كـانَ مِنَ المُشـرِكيـن
Amsaynaa ‘alaa fitwratil-Islaami, wa ‘alaa kalimatil-ikhlaaswi, wa ‘alaa Diyni Nabiyyinaa Muhammadin Swalla-Allaahu ‘alayhi wasallam wa ‘alaa millati Abiynaa Ibraahiyma Haniyfan Musliman wamaa kaana minal-mushrikiyn
Tumeingia jioni na maumbile ya Kiislamu na neno la ikhlaasw na Dini ya Nabiywetu Muhammad (صلى الله عليه وسلم), na milah (Dini) ya baba yetu Ibraahiym aliyejiengua na Dini potofu akashika dini ya haki na hali ya kuwa Musilamu wala hakuwa ni mwenye kumshirikisha Allaah.
[91]
سُبْحـانَ اللهِ وَبِحَمْـدِهِ
Subhaana-Allaahi wa Bihamdihi (mara mia moja)
Utakasifu ni wa Allaah na Himdi ni Zake[18]
[92]
لا إلهَ إلاّ اللّهُ وحْـدَهُ لا شَـريكَ لهُ، لهُ المُـلْكُ ولهُ الحَمْـد، وهُوَ على كُلّ شَيءٍ قَدير
Laa ilaaha illa-Allaahu Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku walahul-Hamdu wa Huwa ‘alaa kulli shay-in Qadiyr. (mara kumi)[19] (au mara moja ukisia uvivu)
Hapana mwabudiwa wa haki ila ni Allaah peke Yake, hana mshirika, ni Wake Ufalme, na ni Zake Himdi na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza[20]
[93]
لا إلهَ إلاّ اللّهُ وحْـدَهُ لا شَـريكَ لهُ، لهُ المُـلْكُ ولهُ الحَمْـد، وهُوَ على كُلّ شَيءٍ قَدير
Laa ilaaha illa-Allaahu Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku walahul-Hamdu wa Huwa ‘alaa kulli shay-in Qadiyr. (mara mia atakapoamka)
Hapana mwabudiwa wa haki ila Allaah Peke Yake, Hana mshirika, ni Wake Ufalme, na ni Zake Himdi na Yeye juu ya kila kitu ni Mweza[21]
[94]
سُبْحـانَ اللهِ وَبِحَمْـدِهِ عَدَدَ خَلْـقِه، وَرِضـا نَفْسِـه، وَزِنَـةَ عَـرْشِـه، وَمِـدادَ كَلِمـاتِـه
Subhaana-Allaahi wa Bihamdihi, ’adada Khalqihi wa Ridhwaa Nafsihi, wa zinata ’Arshihi wamidaada Kalimaatih (mara 3 kila asubuhi na jioni)
Utakasifu ni wa Allaah na Himdi ni Zake, kwa idadi ya viumbe Vyake, na radhi Yake, na uzito wa arshi Yake, na wino wa maneno Yake[22]
[95]
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَسْأَلُـكَ عِلْمـاً نافِعـاً وَرِزْقـاً طَيِّـباً، وَعَمَـلاً مُتَقَـبَّلاً
Allaahumma inniy as-aluka ‘ilman naafi’an warizqan twayyiban wa ‘amalam mutaqabbalan (asubuhi)
Ee Allaah, hakika nakuomba elimu yenye kunufaisha na rizki njema na amali zenye kutakabaliwa[23]
أَسْتَغْفِرُ الَّلهَ وَ أَتُوبُ إِلَيْهِ
Astaghfiru-Allaahi wa atuwbu Ilayhi (mara mia kila siku)
Namuomba Allaah maghfirah na natubu (narejea) Kwake[24]
[97]
أَعُوْذُ بِكَلِماتِ اللَّهِ التَّامَّتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ
A’uwdhu bikalimaatiLLaahit-ttaammati minsharri maa khalaq (mara 3 jioni na asubuhi)
Najikinga kwa maneno ya Allaah yaliyotimia kutokana na shari Aliyoiumba[25]
[98]
اللّهُـمَّ صَلِّ عَلـى مُحمَّـدٍ وَعَلـى أَزْواجِـهِ وَذُرِّيَّـتِه، كَمـا صَلَّيْـتَ عَلـى آلِ إبْراهـيم. وَبارِكْ عَلـى مُحمَّـدٍ وَعَلـى أَزْواجِـهِ وَذُرِّيَّـتِه، كَمـا بارِكْتَ عَلـى آلِ إبْراهـيم. إِنَّكَ حَمـيدٌ مَجـيد
Allaahumma Swalli ‘alaa Muhammadin wa ‘alaa azwaajihi wadhurriyatihi kamaa Swallayta ‘alaa aali Ibraahiym. Wabaarik ‘alaa Muhammadin wa ‘alaa azwaajihi wadhurriyatihi kamaa Baarakta ‘alaa aali Ibraahiym. Innaka Hamiydum-Majiyd
Ee Allaah Mswalie Muhammad, na wake zake, na kizazi chake, kama Ulivyowaswalia ahli wa Ibraahiym. Na mbariki Muhammad, na wake zake, na kizazi chake, kama Ulivyowabariki ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe Umesifika na Umetukuka[26]

Comments
Post a Comment