Kupongezana "Kullu 'Aamin Wa Antum Bikhayr" Haimo Katika Shariy'ah?
Aliulizwa Shaykh Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):
“Je, kupongezana kwa kuambiana “Kullu ‘aamin wa antum bikhayr” katika masiku haya ya Ramadhwaan ni jambo lililo katika shariy’ah?”
Akajibu (Hafidhwahu Allaah):
“Hapana. Si jambo lililo katika shariy’ah, na wala hili halijuzu.”
[Al-Ijaabaat Al-Muhimmah Fiy Al-Mashaakil Al-Mudlahimmah, uk. 229]

Comments
Post a Comment