Fadhila za kufuturisha
قال صلى الله عليه وسلم : ((مَنْ فَطَّرَ صَائِمًا كَانَ لَهُ مِثْلُ أَجْرِهِ غَيْرَ أَنَّهُ لَا يَنْقُصُ مِنْ أَجْرِ الصَّائِمِ شَيْئًا )) أخرجه أحمد والنسائي وصححه الألبان
Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallaam) amesema:
"Atakayemfuturisha aliyefunga atapata ujira kama ujira wake bila ya kupungua chochote katika ujira wa yule aliyefunga" [Ahmad, An-Nasaaiy – Ameipa daraja ya Swahiyh Shaykh Al-Albaaniy]
Hivyo ni juu ya kila Muislam Kupupia katika kitendo hiki cha kheri chenye Fadhila kubwa mbele ya Allah تبارك وتعالى

Comments
Post a Comment