Dua za kuondosha dhiki aina zote




Kwanza kabisa hatuna budi kumshukuru Mungu Wa Pekee aliyeumba kila kitu asiyefanana na  yeyote wala chochote kwa kutuwezesha kuwa pamoja katika App yako hii bora kabisa tukielimishana mambo mbalimbali yenye kutufaa katika dunia na akhera yetu Pia tumtakie ziada ya Rehma na Amani Mtume Wetu Muhammad S.A.W na Aali zake na Sahaba zake na wote watakaowafuata kwa wema mpaka siku ya malipo.
 
 
Ndugu Msomaji Uislam ni mfumo kamili wa maisha unaowawezesha wanaoufuata kumudu kila jambo linalowakabili na iwe ni katika furaha na hata huzuni na bila shaka dhiki (ugumu wa hali) kimaisha ni katika mambo yanayochangia kwa kiasi kikubwa katika kusababisha huzuni kwa muhusika.
 
Uislam umetufundisha namna ya kukabiliana na hali hiyo na nyinginezo na hapa chini ni miongoni mwa namna hizo. nazo zinatakiwa kusomwa kwa kurudiwa mara nyingi asubuhi na jioni huku msomaji akiwa ana udhu na ameelekea Qibla, zoezi hili unapswa kulitekeleza kwa mfululizo na usiache na kukata tamaa pia wakati unaendelea na zoezi hili huku ukiendelea na kibarua ama biashara zakob hakika Allaah ataweka Baraka zake na hali itabadilika Inshaa Allaah.
 
 
وَٱللَّهُ يُؤۡتِى مُلۡڪَهُ ۥ مَن يَشَآءُ‌ۚ وَٱللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ۬ (٢٤٧)
 
وَٱللَّهُ يُضَـٰعِفُ لِمَن يَشَآءُ‌ۗ وَٱللَّهُ وَٲسِعٌ عَلِيمٌ (٢٦١)
 
قُلۡ إِنَّ ٱلۡفَضۡلَ بِيَدِ ٱللَّهِ يُؤۡتِيهِ مَن يَشَآءُ‌ۗ وَٱللَّهُ وَٲسِعٌ عَلِيمٌ۬ (٧٣)
 
ذَٲلِكَ فَضۡلُ ٱللَّهِ يُؤۡتِيهِ مَن يَشَآءُ‌ۚ وَٱللَّهُ وَٲسِعٌ عَلِيمٌ (٥٤)
 
إِن يَكُونُواْ فُقَرَآءَ يُغۡنِهِمُ ٱللَّهُ مِن فَضۡلِهِۦ‌ۗ وَٱللَّهُ وَٲسِعٌ عَلِيمٌ۬ (٣٢)
 
 وَسِعَ رَبُّنَا كُلَّ شَىۡءٍ عِلۡمًا‌ۚ عَلَى ٱللَّهِ تَوَكَّلۡنَا‌ۚ رَبَّنَا ٱفۡتَحۡ بَيۡنَنَا وَبَيۡنَ قَوۡمِنَا بِٱلۡحَقِّ وَأَنتَ خَيۡرُ
ٱلۡفَـٰتِحِينَ (٨٩)
 
وَرَحۡمَتِى وَسِعَتۡ كُلَّ شَىۡءٍ۬‌ۚ فَسَأَكۡتُبُہَا لِلَّذِينَ يَتَّقُونَ وَيُؤۡتُونَ ٱلزَّڪَوٰةَ وَٱلَّذِينَ هُم بِـَٔايَـٰتِنَا يُؤۡمِنُونَ (١٥٦)
 
إِنَّمَآ إِلَـٰهُكُمُ ٱللَّهُ ٱلَّذِى لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ‌ۚ وَسِعَ ڪُلَّ شَىۡءٍ عِلۡمً۬ا (٩٨)
 
 رَبَّنَا وَسِعۡتَ ڪُلَّ شَىۡءٍ۬ رَّحۡمَةً۬ وَعِلۡمً۬ا فَٱغۡفِرۡ لِلَّذِينَ تَابُواْ وَٱتَّبَعُواْ سَبِيلَكَ وَقِهِمۡ عَذَابَ ٱلۡجَحِيمِ (٧)
 
 
 
Pia unaweza kusoma dua hii mara 7
 
‏  لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ الْعَظِيمُ الْحَلِيمُ، لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ رَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ
لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ رَبُّ السَّمَوَاتِ، وَرَبُّ الأَرْضِ، وَرَبُّ الْعَرْشِ الْكَرِيمِ
 
 

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

The Story of Prophet Dhul Kifl

Full Story of the Prophet Ayyub