32: Kukubali Mwaliko Hata Kama Umefunga (Swawm)
Anatakiwa mtu aitikie mwaliko hata kama amefunga kutokana na kauli ya Mtume صلى الله عليه وآله وسلم:
((إذَا دُعِيَ أحَدُكُم فَلْيُجِبْ، فإنْ كَانَ مُفْطِراً فَلْيَطْعَمْ، وَإنْ كَانَ صَائماً فَليُصَلِّ)) ( وَالصَّلاَةُ الدُّعَاءُ)
((Anapoalikwa mmoja wenu chakula inampasa akubali. Ikiwa hakufunga basi na ale, na kama kafunga basi ashiriki katika Swalah (Du'aa) zake)) (Na Swalah ni Du’aa”)[1]

Comments
Post a Comment