Dua wakati wa kupanda gari
Inapendekezwa kufanya Dua unapopanda gari lolote kama ilivyopendekezwa na Mtume wetu saw kwa kusema:
سُبْحَانَ الذي سَخَّرَ لَنَا هذا، وَما كُنَّا له مُقْرِنِينَ، وإنَّا إلى رَبِّنَا لَمُنْقَلِبُونَ
“Subhanal-ladzi sakh-khara lana hadza wa ma kunna lahu muqrinin. Wa inna ila Rabbina lamun-qalibun.”
Kwa jina la Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Jinsi alivyo mkamilifu, ambaye ameweka huu (usafiri) kwenye huduma yetu na sisi wenyewe tusingeweza kufanya hivyo, na kwa Mola wetu ndio mwisho wetu. (Sahih Muslim)

Comments
Post a Comment