Dua kwa mgonjwa aliyopo hospitali
Katika Hadith, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Mwenye kuugua miongoni mwenu, au ndugu yake ana maradhi, na aseme:
رَبَّنَا اللَّهُ الَّذِي فِي السَّمَاءِ تَقَدَّسَ اسْمُكَ أَمْرُكَ فِي السَّمَاءِ وَالأَرْضِ كَمَا رَحْمَتُكَ فِي السَّمَاءِ فَاجْعَلْ رَحْمَتَكَ فِي الأَرْضِ اغْفِرْ لَنَا حُوبَنَا وَخَطَايَانَا أَنْتَ رَبُّ الطَّيِّبِينَ أَنْزِلْ رَحْمَةً مِنْ رَحْمَتِكَ وَشِفَاءً مِنْ شِفَائِكَ عَلَى هَذَا الْوَجَعِ فَيَبْرَأُ
Ewe Mola wetu Mwenyezi Mungu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, Mapenzi yako yatimizwe mbinguni na duniani; kama vile rehema zako ziko mbinguni, ziweke juu ya ardhi. Utusamehe dhambi zetu na njia zetu mbaya. Wewe ni Mola Mlezi wa wema. teremsha rehema kutoka Kwako na tiba kutoka Kwako ili kuponya maumivu haya, ili yapone."
Robbana-Allahullazi fis-samaai taqoddasas-muka amruka fis-samaai wal-ardhi kamaa rohmatuka fis-samaai faj-al rohmataka fil-ardhi. Ighfir lanaa huubanaa wa khotoyaanaa anta robbut-toyyibeen. Anzil rohmatan min rohmatika wa shifaan min shifaaika 'alaa haazal-waja'i fa-yabra'u
(Sunan Abi Daud)

Comments
Post a Comment