Dua baada ya kutoka nyumbani
Imepokewa na Anas bin Malik, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) amesema:
من قالَ يَعني إذا خرجَ من بيتِهِ: بِسمِ اللَّهِ، توَكَّلتُ على اللَّهِ، لا حَولَ ولا قوَّةَ إلَّا باللَّهُنَّتَ فَقَّتَ إلَّا باللَّهُنَّعَلَّ فَقَّتَ إلَّا باللَّهُنِّ فَلَى
Bismillah, tawakkaltu 'alAllah, wa la hawla wa la quwwata illa billah.
"Atakayesema (alipotoka nyumbani kwake): "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, ninamtegemea Mwenyezi Mungu, hakuna nguvu wala uwezo isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu." Ataambiwa: 'Umetosheka na kulindwa. , na Ibilisi atakwenda mbali naye." (Sunan At-Tirmizi)

Comments
Post a Comment