DUA ZA KIKAO KATI YA SIJDA MBILI

DUA ZA KIKAO KATI YA SIJDA MBILI 

 [ رب اغفر لي ، رب اغفر لي ]

أبو داود 1/ 231 وانظر  صحيح ابن ماجة 1/ 148

[Mola nisamehe, Mola nisamehe]       [Imepokewa na Abuu Daud]

[ اللهم اغفر لي ، وارحمني ، واهدني ، واجبرني، وعافني، وارزقني ، وارفعني]

أخرجه أصحاب السنن إلا النسائي وانظر صحيح الترمذي 1/90 وصحيح ابن ماجه 1/ 148

[Ewe Mwenyezi Mungu  nisamehe, na unirehemu, na uniongoze, na uniungie, na unipe afya, na uniruzuku na uniinue.]        [Imepoewa na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy na Ibnu Maajah.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba