DUA YA WASIWASI USINGIZINI AU KUSIKIA UOGA NA MFADHAIKO

 DUA YA WASIWASI USINGIZINI AU KUSIKIA UOGA NA MFADHAIKO

[ أعوذ بكلمات الله التَّامَّة من غضبه وعقابه، وشر عباده، ومن همزات الشياطين وأنْ يحضرون ]

 أبو داود 4/12 نظر صحيح الترمذي3/ 171

[Najilinda na maneno ya Mwenyezi Mungu  yaliotimia kutokana na hasira zake na adhabu yake na shari ya waja wake na vioja vya mashetani na kunijia kwao.]         [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba