DUA YA KUMTEMBELEA MGONJWA

DUA YA KUMTEMBELEA MGONJWA

 Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ anapoingia kumzuru mgonjwa  akimwambia

[ لا بأس طهور إن شاء الله ]

[Hakuna neno, (ugonjwa) ni kusafishwa (na madhambi) anapopenda Mwenyezi Mungu. ]    [Imepokewa na Bukhari.]  

Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: Hapana mja yeyote muislamu anaemtembelea mjongwa ambae wakati wake wa kufa bado haujafika na akamuombea mara saba

[ أسأل الله العظيم رب العرش العظيم أن يشفيك ]

[Namuomba Mwenyezi Mungu  Mtukufu Mola wa Arshi tukufu (akuponyeshe)]

Isipokuwa Mwenyezi Mungu  humponyesha mgonjwa huyo.   [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Abuu Daud.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba