DUA YA KUMTAAZI ALIYEFILIWA
DUA YA KUMTAAZI ALIYEFILIWA
إن لله ما أخذ وله ما أعطى . وكل شيء عنده بأجل مُسمى …فلتصبر ولتحتسب: البخاري 2/80 ومسلم 2/63
[Kwa hakika ni Chake Mwenyezi Mungu Alichokichukua, na ni chake Alichokitoa, na kila kitu Kwake kina muda maalum]
(…….kisha Mtume ﷺ akimwambia:) “basi vumilia na taka malipo kwa Allaah” ] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.] na akisema:
[ أعظم الله أجرك ، وأحسن عزاءك وغفر لميتك ]
[Ayafanye mengi Allaah malipo yako, na Akufanye kuzuri kutaaziwa (kuhaniwa) kwako na Amsamehe maiti wako.] …basi ni bora [Tazama Al-Adhkaar ya Imam Al-Nnawawiy]
Comments
Post a Comment