DUA YA KUMFUNGA MACHO MAITI

DUA YA KUMFUNGA MACHO MAITI

 اللهم اغفر  لفلان ( باسمه) ورفع درجته في المهديين، واخلفه في عقبه في الغابرين، واغفر لنا وله يا رب العالمين ، وافسح له في قبره ونور له فيه        مسلم 2/634

[Ewe Mwenyezi Mungu msamehe (jina la maiti) na ipandishe daraja yake katika wailoongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake.]       [Imeokewa na Muslim.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba