DUA YA KUMFUKUZA SHETANI NA WASIWASI WAKE
DUA YA KUMFUKUZA SHETANI NA WASIWASI WAKE
Mambo yafuatayo yanatakiwa kufuatwa pindi anapotolewa shetani:
[الاستعاذة بالله منه] أبو داود 1/206 والترمذي
[Kumuomba Mwenyezi Mungu akuhifadhi nae] [Imepokewa na Abuu Daud.]
[ الأذان ]
مسلم 1/ 291 والبخاري 1/151
Kumuadhinia. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
[ الأذكار وقراءة القرآن ]
[Kusoma nyiradi zilizopokewa kutoka kwa Mtume ﷺ nakusoma Qur’ani.
Comments
Post a Comment