DUA YA KULIPA DENI

DUA YA KULIPA DENI

 [ اللهم اكفني بحلالك عن حرامك ، وأغنني بفضلك عمن سواك ]

الترمذي 5/560

[Ewe Mwenyezi Mungu nitosheleze mimi na halali yako kutokana na haramu, na unitosheleze kwa fadhila zako nisiwahitaji wengine usio Wewe.]        [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]

[ اللهم إني أعوذ بك من الهم والحزن ، والعجز والكسل ،والبخل والجبن وضلع الدين وغلبة الرجال ]

البخاري7/ 158

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi najilinda kwako kutokana na hamu na huzuni na kutoweza na uvivu na ubakhili na uoga na uzito wa deni na kushindwa na watu.]       [Imepokewa na Bukhari.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba