DUA YA ANAEKUTANA NA ADUI AU MWENYE KUTAWALA

 DUA YA ANAEKUTANA NA ADUI AU MWENYE KUTAWALA

[ اللهم إنا نجعلك في نحورهم ونعوذ بك من شرورهم ]

أبو داود 2/89 وصححه الحاكم ووافقه الذهبي 2/142

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua  vyao na tunajikinga kwako na shari zao.]     [Imepokewa na Abuu Daud na Kusahihishwa na Al-Haakim]

[ اللهم أنت عضدي وأنت نصيري ،بك أجول ،وبك أصول ، وبك أُقاتل ]

 أبو داود 3/42 والترمذي 5/572

[Ewe Mwenyezi Mungu  Wewe ndie msaidizi wangu nawe ndie mnusura wangu, kwako ninazunguka na kwako ninavamia na kwako ninapigana.]       [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy.]

[ حسبنا الله ونعم الوكيل ]

 البخاري 5/172

[Mwenyezi Mungu anatutosheleza, naye ni mbora wa kutegemewa.]        [Imepokewa na Bukhari.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba