DUA YA ALIYEPATWA NA MSIBA
DUA YA ALIYEPATWA NA MSIBA
[ إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم أجرني في مصيبتي وأخلف لي خيراً منها ]
مسلم2/632
[Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah nilipe kwa msiba wangu na unipe badili yake bora kuliko huo.] [Imepokewa na Muslim.]
Comments
Post a Comment