DUA INAYO KINGWA NAYO WATOTO.

DUA INAYO KINGWA NAYO WATOTO.

 Imepokelewa  na Ibn Abbas amesema  alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  akiwakinga wajukuu wake (Hassan na Hussein) akisema :

[ أعيذكما بكلمات الله التامة ، من كل شيطان وهامة ، ومن كل عينِ لامة ]

[Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu  yaliyotimia awakinge kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru.]      [Imepokewa na Bukhari.]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

Full story of theProphet Al-Yasa

Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba