Nini Hikmah Ya Swiyaam Za Sitta Shawwaal?
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
"Hikmah yake ni kukamilisha fardhi, basi atakapofunga Swiyaam za Sitta Shawwaal ni kama vile Swalaah za Sunnah ambazo zinakuwa ni kukamilisha humo kilichopungua katika fardhi." [Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb, kanda (75)]
Comments
Post a Comment