HISTORIA YA NABII SULEIMAAN Nabii Suleyman (AS) ni mtoto wa Nabii Daud (AS) Manabii hawa walijaaliwa na Mwenyeezi Mungu ilimu kubwa na Hikma. Walikuwa katika waja wema, wingi wa kushukuru kwa wanachoneemeshwa,wanyenyekevu na wepesi kurudi kwa mola wanapokosea,walijaaliwa ufalme ambao haukuwahi kuonekana toka dunia ianze hadi dunia itaisha.Ufalme wao ni ruzuku itokanao kwa muumba mbingu na Ardhi na ziliomo ndani.Na katika Manabii walojaaliwa kuzaa mtoto kwa kupewa Daraja ya Unabii ni Suleyman (AS)Na wengine walobahatika na hili ni Yahya (AS) babake ni Zakariya (AS).Na Ismael na nduguye Ishaq walizaliwa na Ebrahim (AS)Baba wa waumini wote. Mwenyeezi mungu anasema katika Surat Nnaml Aya 15. .Na hakika tuliwapa Daudi na Sulaiman ilimu, na wakasema: Alhamdu Lillahi, Kuhimidiwa kote ni kwa Mwenyezi Mungu aliye tufadhilisha kuliko wengi katika waja wake Waumini. Nabii Suleiman (AS) Qur’an imelitaja jina lake katika aya zipatazo 16. Suleiman (AS) alirithishwa kiti cha uf...
Al-Yasa, also referred to as Elisha or Elyas’ (pbuh) is regarded as a Prophet in Judaism, Christianity, and in Islam. Al Yasa was one of the Children of Israel descendent from Yusuf ibn Ya’qoob ibn is-haaq ibn Ibraaheem al-khaleel. Allah sent down Al-yasa as a successor to Prophet Elijah (pbuh) to help guide the children of Israel. He lived among his people and called upon them to obey the laws and commands of Allah. Not much is known about his life, but the Quran speaks highly of him in the two ayah he is mentioned. Allah says in Surah Al An'Am Ayat 84-87: 84. وَوَهَبْنَا لَهُۥٓ إِسْحَٰقَ وَيَعْقُوبَ ۚ كُلًّا هَدَيْنَا ۚ وَنُوحًا هَدَيْنَا مِن قَبْلُ ۖ وَمِن ذُرِّيَّتِهِۦ دَاوُۥدَ وَسُلَيْمَٰنَ وَأَيُّوبَ وَيُوسُفَ وَمُوسَىٰ وَهَٰرُونَ ۚ وَكَذَٰلِكَ نَجْزِى ٱلْمُحْسِنِينَ 85. وَزَكَرِيَّا وَيَحْيَىٰ وَعِيسَىٰ وَإِلْيَاسَ ۖ كُلٌّ مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ 86. وَإِسْمَٰعِيلَ وَٱلْيَسَعَ وَيُونُسَ وَلُوطًا ۚ وَكُلًّا فَضَّلْنَا عَلَى ٱلْعَٰلَمِينَ 87. وَمِنْ ءَابَآ...
Umuhimu Wa Dua Katika Uislamu Na Njia Ya Kuomba Dua “(Ewe Mtume) Sema: Mola wangu Mlezi asingekujali lau kuwa si maombi yenu…” (Qur’ani Tukufu Sura Al-Furqan, 25:77 ) . “Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni; Hakika wale wanao jivuna kwa ajili ya utumishi Wangu hivi karibuni wataingia Jahannamu wakiwa wamedhalilishwa. (Qur’ani, Surah Ghafir, 40:60 ) “Na waja wangu watakapokuuliza kuhusu Mimi, basi mimi nipo karibu sana. Naitikia maombi ya mwenye kuomba anaponiomba…” (Qur’ani Tukufu Surah Al-Baqarah, 2:186 ) . “Je, nisiongee kuhusu silaha inayoweza kukukinga na adui na kukuongezea riziki? Ni Dua. 1 “Dua ni ngao ya muumini na mlango ukigongwa kwa muda mrefu, ungefunguliwa mwishowe. 2 ” "Mtu anayeishi katika ustawi anahitaji sana dua kuliko yule anayehusika na shida kwani yule wa kwanza hayuko salama kutokana na hatari ya msiba. Wote wawili wanapaswa kuomba dua kwa ikhlasi sawa. 3 ” "Dua ndiyo njia ya uhakika zaidi ya kuepusha majanga. 4 ” “Dua inaweza kuahirisha ...
Comments
Post a Comment