Kuomba Kuhesabiwa Hesabu Nyepesi Siku Ya Qiyaamah

Kuomba Kuhesabiwa Hesabu Nyepesi Siku Ya Qiyaamah

اللَّهُمَّ حَاسِبْنِي حِسَابًا يَسِيرًا

Allaahumma haasibniy hisaaban -yasiyraa
Ee Allaah nihesabie hisabu iliyo nyepesi

Hadiyth ya ‘Aaishah (رضي الله عنها) alimuuliza Rasuli wa Allaah (سبحانه وتعالى) alipomaliza kuisoma du’aa katika Swalaah:

  Ipi hesabu iliyo nyepesi?” Akasema: ((Kwamba [Allaah] Atatazama kitabu chake [kilichorekodiwa ‘amali] kisha Amsamehe kwani hakika mwenye kuhojiwa hesabu siku hiyo ee ‘Aaishah ameangamia, na kila kinachomsibu Muumini Allaah عز وجل Humfutia ([dhambi] japo ikiwa ni mwiba umchomao)) [Imaam Ahmad]

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA NABII SULEIMAAN

The Story of Prophet Dhul Kifl

Full Story of the Prophet Ayyub